The true test of character is not how much i know how to do, but how i behave when i don't know what to do.
Wednesday, May 4, 2011
MASKINI HUYU NI MTOTO WA MAREHEMU MUYA HAPA NI KAMA ANAWAZAAA...
Dah!! jamani sa mbona wanamfukia baba yangu? hivi ndo sitamuona tena? Mmmmhh nadhani sitamuona mbona watu wanazidisha udongo sa atatokajeeeee
Eeee Mungu msamehe baba yangu na nakuomba uiweke roho yake mahali pema peponiiiMaskini Ommy mimi ndo ntakuwa sina baba milelee!!!
Bora nifute machozi kwakuwa kazi ya mola haina makosa, na pia naomba ndugu zangu msinitenge ili nisijekuwa mtoto wa mitaani mimi!!!
1 comment:
Anonymous
said...
Khaa we Masanja maneno yote mtoto mtoto alikuwa akiwaza?? Au uliingia ubongoni mwake? Duh! We ni noma kaza buti na poleni sana kwa msiba ulowafika, tuko pamoja man!!!
1 comment:
Khaa we Masanja maneno yote mtoto mtoto alikuwa akiwaza?? Au uliingia ubongoni mwake? Duh! We ni noma kaza buti na poleni sana kwa msiba ulowafika, tuko pamoja man!!!
Post a Comment