The true test of character is not how much i know how to do, but how i behave when i don't know what to do.
Wednesday, May 4, 2011
BOONGE LA AJALI BARABARA YA CHALINZE TANGA...
ABIRIA WA BASI LA NAJIMS WAKIWA HAWAJUI CHA KUFANYA BAADA YA BASI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUACHA BARABARA NA KUPINDUKA HAPA WAKIMUANGALIA MWENYE BLOG HII KWA MACHO YA KUOMBA MSAADA WAKATI GARI NILILOKUWA NALO LILIKUWA HALINA HATA UWEZO WA KUPAKIA ABIRIA WAWILI
JAMAA ALIYEDAI KUWA MHUSIKA WA BASI HILO AKIONESHA ISHARA YA KUTOPIGWA PICHA LAKINI KWA BAHATI MBAYA HAKUPIGWA PICHA HAHAHAHAHAAAA
1 comment:
Anonymous
said...
We mwenye blog hakuna waliopoteza maisha? Na vipi kuhusu majeruhi kufuatia ajali hiyo.
1 comment:
We mwenye blog hakuna waliopoteza maisha? Na vipi kuhusu majeruhi kufuatia ajali hiyo.
Post a Comment