ABIRIA WA BASI LA NAJIMS WAKIWA HAWAJUI CHA KUFANYA BAADA YA BASI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUACHA BARABARA NA KUPINDUKA
HAPA WAKIMUANGALIA MWENYE BLOG HII KWA MACHO YA KUOMBA MSAADA WAKATI GARI NILILOKUWA NALO LILIKUWA HALINA HATA UWEZO WA KUPAKIA ABIRIA WAWILI
HAPA WAKIMUANGALIA MWENYE BLOG HII KWA MACHO YA KUOMBA MSAADA WAKATI GARI NILILOKUWA NALO LILIKUWA HALINA HATA UWEZO WA KUPAKIA ABIRIA WAWILI
JAMAA ALIYEDAI KUWA MHUSIKA WA BASI HILO AKIONESHA ISHARA YA KUTOPIGWA PICHA LAKINI KWA BAHATI MBAYA HAKUPIGWA PICHA HAHAHAHAHAAAA
1 comment:
We mwenye blog hakuna waliopoteza maisha? Na vipi kuhusu majeruhi kufuatia ajali hiyo.
Post a Comment