Tuesday, August 30, 2011

AJALI YA KUTISHAAAAAAA!!!!!!! WATANGAZAJI WAWILI NA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TUZIDI KUWAOMBEAAAA!!!!!

SILAS MBISE MTANGAZAJI WA WAPO RADIO ERICK BRAITON NA THOMAS BERNARD AMBAYE NI MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WAPATA AJALI YA KUTISHAAA MAENEO YA KATI KATI YA MLANDIZI NA KIBAHA USIKU WA KUAMKIA JUMA TATU, VIJANA HAO WALIO OKOKA WALIPATA AJALI HIYO MAJIRA YA SAA 3 USIKU, VIJANA HAO WALIKUWA WAKITOKEA MOROGORO KATIKA UZINDUZI WA BENDI YA GROLIOUS CELEBRATION, WAKIONGEA NA MWENYE BLOG MAJERUHI HAO WALIDAI AJALI ILISABABISHWA NA GARI MOJA AINA YA HIACE KUSIMAMA KATIKATI YA BARABARA KITENDO KILICHOPELEKEA GARI ILIYOKUWA NYUMA YA DALADALA HIYO AMBAYO ILIKUWA IKIMILIKIWA NA MUIMBAJI WA NYIMBO ZA IJNILI MWANA DADA MARTHA MWAIPAJA KUSIMAMA,

KITENDO CHA MARTHA MWAIPAJA KUSIMAMA KILIPELEKEA ERICK ALIEKUWA AKIENDESHA GARI AINA YA TOYOTA CRESTA KUIKWEPA NA KUHAMIA UPANDE WA KULIA AMBAPO ALIKUTANA NA HIACE NYINGINE ANA KWA ANA.

HALI YA WAGONJWA INAENDELEA VIZURI AMBAPO ERICK AMEVUNJIKA MIGUU YOTE MIWILI NA MKONO, WAKATI THOMAS BERNARD AMEVUNJIKA MFUPA WA KATIKATI YANAPOKUTANIKIA MACHO NA SILAS YEYE AMEUMIA KIFUA.

TUNAWAOMBEA MWENYEZI MUNGU AWAPONYE WAENDELEE KUITENDA KAZI YA BWANAAAA.
WAPENDWA WAKIWA NYUMBANI KWA ERICK KUMFARIJI
GARI YA ERICK BRAITON WALIOKUWA NAYO NA KUPATA AJALII
SILAS MBISE NA ERICK KTK MAUMIVU
JAMANI POLENIIII NDUGU ZETUUUU
JESCA HONORE UNACHEKA NN JAMANIII AU NDO HAKO KA JUICE KA MGONJWAAA HAHAHAHAHAHA
HEBU ONA GARI JAMANIII
HII NDIO HIACE WALIOKUTANA NAYO USO KWA USO
TUNAMSHUKURU MUNGU KWAKUWA WOTE NI WAZIMA WA AFYAAA

Saturday, August 20, 2011

MAMBO YA GLORIOUS CELEBRATION NDANI THE ATRAMS HOTEL SINZA AFRICA SANA, VIJANA WALIO OKOKA HUKUTANA HAPO KILA IJUMAA NA KUDONDOSHEWA MASEBENE YA UKWE

JESCA HONORE AKIONGOZA MASHAMBULIZI YA SHOW NDANI YA THE ATRAMS HAPO ILIKUWA KAZI MTINDO MMOJA MWANAWANEEEE
HEBU CHEKI NA HIII
WEWEEEEEE MAMBO IKO HUKUUUUUU
RAPA WA GROLIOUS AKIFANYA VITU VYAKE
YOUNG PRODUCER FROM J RECORDS NAYE NI MMOJA WA WANA GROLIOUS HAPA AKIWA KAZINI
MPIGA SOLO WA GROLIOUS EMANUEL a.k.a DUNDA MYESU AKIWAJIBIKA MWANAWANEEEE
WATANGAZAJI MPAKA WALISAHAU KAZI ZAO HAPA NI SILAS MBISE TOKA WAPO RADIOO NA ERICK TOKA PRAYS POWER WAKISAKATA SEBENEEEE
VICTOR LANGULA AKIONGOZA ZILE STYLE ZA KI SOUTH MWANAWANEEEE
M2 NA SHEMEJIE NDANI YA THE ATRAMS JAMANI ILINOGAJEEEE

Thursday, August 18, 2011

MCHUNGAJI WA LIVING WATER MAKUTI KAWE KTK BASH ILIYOFANYIKA DEGE BEACH

MCH NA MM KTK MOJA YA MATUKIO YA SIKU HIYOOOO
VIJANA WA KANISA LA LIVING WATER WAKIJUMUIKA KWA PAMOJA KTK UFUKWE SIKU YA TUKIOOOO
MIMI NA PASTOR MYAMBA TUKAJIFOTOA NA KA SHOT MWANAWANEEEE
MTU 3 KAMA MILIONI 3
VIJANA WENYE NGUVU WALIOKOKA NA WANAMPENDA YESU WAKIWA WANAVINJARI UFUKWENI SIKU HIYOO NA WISH UNGEKUWEPO

NASIKIA ILE KASHESHE YA MAFUTA INATAKA KUJIRUDIAAA MWANAWANEEEE!!!!

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA PANDE ZA BAMAGA WAKATI WA KASHESHE LA MAFUTA WIKI ILIYOPITA
BOOOOOONGE LA FOLENIIIIIIIIIIIIIIIIII
WALITENGENEZA KILA AINA YA UMBO KUANZIA MSTATILI TRY ANGEL MPAKA MDUARAA LAKINI MAFUTA WAP!!

Thursday, August 4, 2011

ALHAMIS HII KTK ORIJINO KOMEDI SHOW.......

PRESENTER BY PULOFESHENOOOOOO..... BOOOONGE LA BWANAAA!!!
KA MISS KETU NA BEPARI LA KIHAYAAAAA
WANAMUME KWA JOB
ACTION
ULEVIIIII NOUMER!!!
WITH TUMACHO PRO ART STUDIOOOO

Tuesday, August 2, 2011

WAJAMENIII WAJAMENIIIII MWANZA KAMA ULAYAAAAAAA....

HILI POZI LA JUU YA MAWE TUUU... HUKU NIKIANGALIA KIVUKO CHA SENGEREMAAAAAAA
KITU MALAIKA HOTEL NI PA UKWELI MPAKA UNAUMWAAA MWANAWANEEEEEE!!!!

NDENDE NAYE NDANI YA MOSHII.....

JAMANIII MASANJA JAPO PICHA MOJAAAAA......

HAPA NILIKUWA NA WASANII WA TASNIA YA FILAMU TANZANIA PENDO, NA MAINDA.

Sunday, July 31, 2011

BONGO MOVIE CLUB NDANI YA MOSHI NA KUSAKATA KABUMBU SWAFIIIIIIIIIII

HII NI SEHEMU TU YA PICHA YA FIRST ELEVEN YA BONGO MOVIE NA MIMI NIMOOO
KWA POZ HILI LAZIMA NIITWE NA POZENIIIIIIII WA STARZZ
HAPA ULIKUWA MSAFALA WA KUELEKEA UWANJANIIII
MADOGO WAKAPATA KA TIME KA KUJIFOTOA NA MASTAA WA TASNIA YA FILAMU TANZANIAAA
KUKAPATIKANA KA TIME KA NYAMA CHOMA KAMA HIVII SO ILIKUWA POUWA SANAAAAA

MCHUNGAJI MTARAJIWA KTK MIKUTANO YA INJILIIII......

HAPA ILIKUWA MKUTANO MKUBWA WA INJILI MAENEO YA NZEGA TABORA, AMBAPO NILIKUWA NA MTUMISHI WA MUNGU MCH DANIEL KULOLA, ULIKUWA MKUTANO WA BARAKA WATU WENGIIII WALIMPOKEA YESU.
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MWANAWANEEEE
HEBU ONA MAELFU YA WATU WENYE KIU YA NENO LA MUNGU...
HAKIKA TULIBARIKIWA SANA ILIKUWA NI WIKI MOJA TULITAMANI KUENDELEAAAA
HAPA NIKIWA NA WANAKWAYA WENZANGU WA NEW JERUSALEM KWAYA WATOTO WA MITO YA BARAKAAAAA

Wednesday, July 20, 2011

HAYA NI MAANDALIZI YA SHOW YA WIKI HII KTK ORIJINO KOMEDI.......

ULEEEEEEEEUSEMI WA UKISIKIA MWENZIO ANANYOLEWA BUNGENI NAWE TIA MAJI UMEJIDHIHIRISHA MALA BAADA YA............... tukutane ktk orijino komedi this week mwanawaneeee......

WITH MA BOY UHURU SELEMANI

HAPA BWANA ILIKUWA UWANJA WA TAIFA KABLA YA TUKIO LA KUKATIKA UMEME UWANJANI HAPOOO

Tuesday, July 19, 2011

HISTORIA YA IBRAHIMU NA SARA YAJIRUDIA KWA ASKOFU BRUNO MWAKIBORWAA!!! MIAKA 21 YA NDOA BILA MTOTO HATIMAYE MUNGU ANATOA ZAWADI YA MTOTO UZEENIII

ASKOFU WA JIMBO LA TEMEKE NA MCHUNGAJI WA KANISA LA MITO YA BARAKA BRUNO MWAKIBORWA NA MKEWE, AMBAO TANGU UJANA WAO MUNGU ALIWATUMIA KAMA CHOMBO CHA KUMTANGAZA BILA KUWAPA MTOTO LAKINI KTK HALI ISIYO YA KAWAIDA MWAKA WA 21 WA NDOA YAO MUNGU ANAWASHUSHIA MTOTO

MTOTO ALIYEZALIWA AKAPEWA JINA LA (GWANDUMI) YAANI MALAIKA AU ANGEL, JUMAPILI YA TAR 17/07/2011 GWANDUMI ALILETWA KWA MALA YA KWANZA KTK KANISA LA MITO YA BARAKA NA KUFANYIWA BOOOOONGE LA SHEREHE HUKU WATU KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI WAKIMIMINIKA KUUSHUHUDIA MUUJIZA HUO KWANI KWA UMRI WAO KUPATA MTOTO NI MUUJIZA... FATILIA MATUKIO KTK PICHAAAA....
HAPA BABA GWANDUMI NA MAMA GWANDUMI WAKIMSHIKILIA MTOTO WAO TAYARI KWA UBARIKIOOOO
MAMA NA MWANAAAAA
AMA KWA HAKIKA SIKU HIYO KANISANI PALIKUWA HAPATOSHI KWANI KILA MWENYE MTOTO ALIPITA NAE MBELEEE NA WOOOOOTE KWA PAMOJA WAKAPATA UBARIKIO NA MTOTO WA MIUJIZA
MUIMBAJI BONI MWAITEGE WA KANISA HILO NAYE HAKUSITA KUMSHUKURU MUNGU KWA NYIMBO MBALIMBALI IKIWEMO NJOOO UFANYIWE MAOMBIIIIIIIIIII
MWIMBAJI WA UKWEEEH FROLA MBASHA NA MMEWE PIA WALIMTUKIZA MUNGU MAHALI HAPO KWA MASONGI MAKALIII KAMA ADUI YAKOOOOO, FANYA NJIA NK
VIONGOZ WA SERIKALI, DINI, NGO'S NA MATAIFA MBALIMBALI WALIKUWEPO KANISANI HAPO KUUSHUHUDIA MUUJIZA HUOOOOOOOOO
MAELFU KWA MAELFU YA WATU WALIMIMINIKA KANISANI SANI HAPO AMA KWA HAKIKA MITO YA BARAKA HAIKUTOSHA SIKU HIYOOOOOO
KAMA UNAVYOONA WATU HIVI NDIVYO WALIVYOKUWA KWA NDANI HALI KADHARIKA NA NJE PIA ILIKUWA HIVIHIVIIIIII