KITENDO CHA MARTHA MWAIPAJA KUSIMAMA KILIPELEKEA ERICK ALIEKUWA AKIENDESHA GARI AINA YA TOYOTA CRESTA KUIKWEPA NA KUHAMIA UPANDE WA KULIA AMBAPO ALIKUTANA NA HIACE NYINGINE ANA KWA ANA.
HALI YA WAGONJWA INAENDELEA VIZURI AMBAPO ERICK AMEVUNJIKA MIGUU YOTE MIWILI NA MKONO, WAKATI THOMAS BERNARD AMEVUNJIKA MFUPA WA KATIKATI YANAPOKUTANIKIA MACHO NA SILAS YEYE AMEUMIA KIFUA.
TUNAWAOMBEA MWENYEZI MUNGU AWAPONYE WAENDELEE KUITENDA KAZI YA BWANAAAA.
2 comments:
spidi ya haya magari ilikuwa kubwa na dereva wa gari dogo hakutakiwa kuhamia upande wa pili bila kuona kuko clear,tusiwe tunamsingizia mungu kila kitu
Nawapa pole
Post a Comment