Wednesday, May 4, 2011

HAPA NI KOROGWE MKOANI TANGA AMBAPO ORIJINO KOMEDI TULIENDA KUMZIKA SOUND MAN WETU MAREHEMU MOHAMED MUYA......

HUU NI WAKATI WA DUA NA SALA MBALIMBALI WATU WOTE TUMESIMAMA KWA HESHIMA SI UNAONAAAA JAMANII
HAPA NI MBELE YA JENEZA LA MAREHEMU TUKIPITA BAADA YA KUTOA SALAMU ZETU ZA RAMBI RAMBI KWA NDUGU WA MAREHEMU WAISHIO KOROGWEUMATI WA WAKAZI WA KOROGWE ULIFURIKA KUMUAGA MPENDWA WETU MUYA


HAPA SAFAR YA KUELEKEA MAKABURINI IKAANZA MWILI UKIPAKIWA KTK GARI
BAADA YA KUFIKA MAKABURINI TUKAUSHUSHA MWILI WA MAREHEMU KUUSOGEZA LILIPO KABURI
HILI NDILO KABURI AMBALO NDUGU YETU MUYA ALIHIFADHIWA HUMO KUWA NYUMBA YAKE YA MILELE
MASHEKHE NA NDUGU WAKIWA KABURINI TAYARI KUUPOKEA MWILI WA MAREHEMU
KAKA WA MAREHEMU(wa mbele) AKIFATIWA NA MC LEGAN WA ORIJINO KOMEDI PAMOJA NA ADRIAN MPIGA PICHA WA ORIJINO KOMEDI WAKIFATILIA MAZISHI YA MAREHEMU MUYA.

KWA SABABU SIWEZ KUMUONGOZA MPIGA PICHA KUTOKANA NA UKIMYA WA ENEO LA MSIBA ILINIPASA KUSHUKUA CAMERA ILI KUPATA KUREKODI NILIVYOKUWA NAVIHITAJI MAHALI HAPO


SHUGHURI YA KUMZIKA IKAENDELEA

NA HAPA NDIPO NDUGU YETU MOHAMED MUYA ALIPO LALASHEKHE ALIYEONGOZA MAZISHI HAYO AKAOMBA AJIFOTOE NA MWENYE BLOG NA KWAKUWA TULISHA MALIZI MAZISHI BASI TUKAJI FOA LIKE THISSSSSSSSSSSSSS


1 comment:

Charles Ngirwa said...

mmmh hapa naona kama sielewi hivi ndugu yangu, nakumbuka kuona mkiwa hospitali kwa ajili ya kumuaga mar. mohammed muya lkn picha hizi nyingine naona marehemu akizikwa kwao korogwe kiislam, sasa inakuaje hapo masanja au picha hizi ulizichanganya? kwani waislamu huwa wanaonesha maiti? anyway sijaelewa hapa hebu nieleweshe tafadhali.