HUU NI WAKATI WA DUA NA SALA MBALIMBALI WATU WOTE TUMESIMAMA KWA HESHIMA SI UNAONAAAA JAMANII
HAPA NI MBELE YA JENEZA LA MAREHEMU TUKIPITA BAADA YA KUTOA SALAMU ZETU ZA RAMBI RAMBI KWA NDUGU WA MAREHEMU WAISHIO KOROGWE
HAPA NI MBELE YA JENEZA LA MAREHEMU TUKIPITA BAADA YA KUTOA SALAMU ZETU ZA RAMBI RAMBI KWA NDUGU WA MAREHEMU WAISHIO KOROGWE
UMATI WA WAKAZI WA KOROGWE ULIFURIKA KUMUAGA MPENDWA WETU MUYA
HAPA SAFAR YA KUELEKEA MAKABURINI IKAANZA MWILI UKIPAKIWA KTK GARI
HAPA SAFAR YA KUELEKEA MAKABURINI IKAANZA MWILI UKIPAKIWA KTK GARI
BAADA YA KUFIKA MAKABURINI TUKAUSHUSHA MWILI WA MAREHEMU KUUSOGEZA LILIPO KABURI
HILI NDILO KABURI AMBALO NDUGU YETU MUYA ALIHIFADHIWA HUMO KUWA NYUMBA YAKE YA MILELE
HILI NDILO KABURI AMBALO NDUGU YETU MUYA ALIHIFADHIWA HUMO KUWA NYUMBA YAKE YA MILELE
MASHEKHE NA NDUGU WAKIWA KABURINI TAYARI KUUPOKEA MWILI WA MAREHEMU
KAKA WA MAREHEMU(wa mbele) AKIFATIWA NA MC LEGAN WA ORIJINO KOMEDI PAMOJA NA ADRIAN MPIGA PICHA WA ORIJINO KOMEDI WAKIFATILIA MAZISHI YA MAREHEMU MUYA.
KAKA WA MAREHEMU(wa mbele) AKIFATIWA NA MC LEGAN WA ORIJINO KOMEDI PAMOJA NA ADRIAN MPIGA PICHA WA ORIJINO KOMEDI WAKIFATILIA MAZISHI YA MAREHEMU MUYA.
1 comment:
mmmh hapa naona kama sielewi hivi ndugu yangu, nakumbuka kuona mkiwa hospitali kwa ajili ya kumuaga mar. mohammed muya lkn picha hizi nyingine naona marehemu akizikwa kwao korogwe kiislam, sasa inakuaje hapo masanja au picha hizi ulizichanganya? kwani waislamu huwa wanaonesha maiti? anyway sijaelewa hapa hebu nieleweshe tafadhali.
Post a Comment