The true test of character is not how much i know how to do, but how i behave when i don't know what to do.
Tuesday, April 19, 2011
WIKI HII KANISANI KWETU VIJANA WAWILI WAJICHUKULIA VIBURUDISHO VYAO KISHERIA YA DINI KABISAAA MWANAWANEEEE!!!!
UMATI MKUBWA WA WASHIRIKA WA MITO YA BARAKA WAKISHANGILIA WACHUMBA HAOOOOOOO HII NI SAFU YA UCHUMBA YA KWANZA NA WALIPENDEZA ILE MBAYAAAAAA MWANAWANEEEEEEEEEE
NA HUYU NDIYE SHEMEJI YETU KTK SAFU YA UCHUMBA WA PILI MWANAWANEEEEEE
ALIYENYOOSHA MKONO NDO HASA MCHUMBIAJI MWENYEWEEEE LAKINI KWA MUJIBU WA SHERIA ZA KANISANI KWETU HAWARUHUSIWI KUKAA WAWILII TU SEHEMU ILI KULINDA USHUHUDA MWANAWANEEEEE
No comments:
Post a Comment