The true test of character is not how much i know how to do, but how i behave when i don't know what to do.
Tuesday, April 19, 2011
JAMANI KARIBUNI KANISANI KWETU MITO YA BARAKA KUNA BOOOOOONGE LA SEMINA YA PASAKA MWANAWANEEEEE!!!
HUYU NI ASKOFU MAFIMBO TOKA JIMBO LA SINGIDA KWA SASA YUPO MITO YA BARAKA KWA SEMINA YA WIKI NZIMA MPAKA PASAKA JAMANI KARIBUNIIIII HAPA NI MCHUNGAJI MTARAJIWA AKIZUNGUMZA JAMBO WAKATI WA IBADA YA JUMAPILI HII NDANI YA MITO YA BARAKA JAMANI KARIBUNI SANAAAA
HAPA NI KUSIFU NA KUABUDU, PRAISE TEAM IKIONGOZWA NA MWIMBAJI LYANGA GEORGE IKIMTUKUZA MUNGU KANISANI HAPO MWANAWANEEEEEEE!!!
No comments:
Post a Comment