Saturday, April 16, 2011

NDANI YA PTA HALL KTK VIWANJA VYA 77 KUSHUDIA MPAMBANO WA KUFA MTU KATI YA J KASEBA NA M MAUGO WEEE BWANAA WEEEEEE

HAPA NIMEKAA NA KAMANDA WA KANDA YA TEMEKE TUKIFATILIA NDONDI HIZOO MWANAWANEEE YAANI ILIKUWA SI NGUMI NI MAWEEEEEEEE YA KUFA MTUUUU HAPO SASA MAUGO NA KASEBA USO KWA USO NANI AANZE MWANAWANEEEE

NI KAMA REFA ANASEMA HOYAAA ACHENI KUKIMBILIA HUKOOO NJOONI MDUNDANE BWANA SA MAMBO GANI HAYOOOOOOOO
KIUKWELI HAPA MAUGO ALIENDA CHINI ILA INASEMEKANA ALITELEZA SA ANAYE JUA ZAIDI KUHUSU HILI NI NDUGU YANGU KASEPA LABDA ALIPA KITU SI HATUJUIIII
KAMA ILIVYO JADI GOMA KABLA YA KUISHA BOOOONGE LA ZOGO POLICE WAKAONA ISIWE TABUUU WAKAWAPANDIAAAAA
HAPA WAKIMCHOMOA SHABIKI WA KASEBA ALIYEKUWA KANG'ANG'ANA ULINGONI HATAKI KUSHUKA, LAKINI KWA MJIBU WA REFA MPAMBANO ULIMALIZIKA NA WINNER NI MAAAAAAAAAAAAAAAAAADA MAUGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

No comments: