HAPA ZUNGU AKIANZISHA MPAMBANO NA SOTE TULIAMINI KWA MPAMBANO HUO WA UBINGWA TENA RAUNDI KUMI HAAAAA ZUNGU ATASHINDA WEEEEEEEE.... MDA SI MWINGI ZUNGU AKAPIGA BOOOONGE LA MWEREKA ULITOKANA NA BOOOOONGE LA LINGUMIIII MWANAWANEEE ILA ZUNGU AKAIMBAKILE KIPANDE CHA UPENDO NKONE CHA niangukapo mimiiiii ntasimama tenaaaaaaaaaa AKAINUKA NA MAWE YAKAENDELEAAAAA
No comments:
Post a Comment