Saturday, April 16, 2011

JIONI NIKAENDA KTK UKUMBI WA PTA KUSHUDIA MPAMBANO WA NGUMI KATI JAPHET KASEBA NA MADA MAUGO NI SOOOO.....

HAPA NIKIWA NA KAMANDA WA POLICE KANDA YA TEMEKE TUKIFATILIA NDINGA HIZOOO MWANAWANEEEE HAPA NI KIJANA ANAYE JULIKANA KWA JINA LA TALL AKIWAJIBIKA NA MPINZANI WAKE JUKWAANI HATARIIIIII MWANAWANEEEEEEE
UUUUUWIIIIIIIIIII NI KAMA MPINZANI WA TALL ANALIA ILA SINA HAKIKA KWANI MWENZANGU UKIANGALIA UNAONAJE PIPOOOOOOO!!!!!!

No comments: