Saturday, April 16, 2011

KILA JUMAMOSI KANISA LETU LA MITO YA BARAKA LINAENDA MIITAANI KUHUBIRI IJNILI NA LEO ILIKUWA ZAMU YA ILALA KARUME ... NAMSHUKURU MUNGU WATU WAMEOKOKAA

ASKOFU BRUNO MWAKIBOLWA AKINITAMBULISHA MAENEO YA ILALA MCHIKICHINI ILI NIANZE KUHUBIRI HAHAHAHAHAHAHAAAAA ILIKUWA SIKU NZURIII AJABUUU HAPA ILIKUWA MDA WA NYIMBO ZA SIFA KWA BWANA HAPO SASA NIKO SAMBAMBA NA MWIMBAJI WA UKWEEEEH ANANIA MWASOMOLA KTK VIWANJA VYA MCHIKICHINI ILALA.
MTUMISHI WA MUNGU MWIMBAJI GWANTWA AKIMTUKUZA MUNGU KWA UIMBAJI WA SNGI LAKE LA PESA INATUPELEKA PABAYA
HAKIKA WALIOKUSANYIKA HAWAKUACHWA HIVIHIVI KWANI ASKOFU MWAKIBOLWA ALITAWANYA MITOOOO YA BARAKA MAHALI HAPO NA HAKIKA ILIKUWA YA KUPENDEZAAA

HII NI SEHEMU TU YA UMATI ULIOFURIKA KTK VIWANJA VYA MCHIKICHINI KUSHUDIA MIUJIZA YA MUNGU MAHALI HAPO TUNAKUALIKA JUMAMOSI IJAYO MWANAWANEEEEEE NA MUNGU AKUBARIKIIIII

No comments: