hivi masanja mkandamizaji ameokoka? nakama hajaokoka namshauri aokoke kwani ujana unamwisho na maisha ya ulokole ni mazuri sana kwa kijana maana utaepukana namengi ya dunia na vishaushi vingi vya shetani tena wewe masanja kama hujaokoka okoka ndungu yangu maisha yenyewe mafupi hatahivyo ulokole unakufaa kwani unaonekana roho yako nzuri japo sikufahamu n.b usije ukafanya joking na mambo ya mungu maana nidhambi
1 comment:

Post a Comment