Saturday, April 2, 2011

MTANGAZAJI AKIANZA NA BOOOONGE LA UGALI!!!

HAPA NI NDUGU MTANGAZAJI WA WAPO RADIO FM SYLAS MBISE AKIUPIGA UGALI KABLA YA KUINGIA KTK KIPINDI CHA GOSPEL SELEBRATION, HUKU MKALI WA STEP KTK NYIMBO MBALIMBALI ALOYCE MWAKIBORWAA AKIMCHEKI BILA KUKARIBISHWAAAA
HAPO NI POZI TU LA PICHA KABLA YA KIPINDI ... ACHA WOGA WEWEEEEEEEE
HAPA AJILA IMEANZA KUTUMIKA aka YUPO MITAMBONIIIIIIIIIIIII

No comments: