Saturday, April 2, 2011

MTANGAZAJI HANDSOME WA TBC.......

MKALI WA KUTANGAZA NEWS TBC 1 JOSEPH MSAMI AKIPAKI CHOMBO CHAKE CHA USAFIRI PANDE ZA WAPO RADIO FM. AKASEMA SUBIRI MPAKA NIPAKI PIKIPIKI NDO UNIPIGE PICHAAAAAAA
HAYA PIGA SASA NA HAPA NGOJA HUYU DOGO BEN MWANANTALA NIMUWAHI KUMZIBA ASIJE NIZIDI KWA POZI ZA PICHA SI UMEONA ALIVYUZA HAPO JUUU EEEH!!!!

2 comments:

Anonymous said...

yani namuonaga muungwana huyu kaka anavyovaaga masuti yale kumbe mweeeeeee,hapo kavaa kombat jamani ila ni handsome kweli halafu yupo serious akiwa mzigoni.

Anonymous said...

masanja hebu nisaidie mie ni mdada nampenda sana joseph Msami vipi yupo katika uhusiano ya kimapenzi na mtu yoyote. Napenda awe mume wangu wa ndoa. nakumbuka alikuwa anasoma taarifa cku moja habari mojawapo ilikuwa ya mfanyakazi wa TBC alikuwa anaoa. Joseph akamalizia kwa kusema "WENGINE BADO TUPO TUPO SANA" sasa sijui tampataje jamani hebu nishauri