Tuesday, April 5, 2011

HAYAAA HAYAAA TENAAA BONGO MOVIE FC MAZOEZINI

HAPA NI MZEE MZIMA CLAUD AKIWA AMEMPIGA BOOOONGE LA CHENGA MCHEZAJI STIVE NYERERE NA KUONDOKA NA BALL
WAKALI WA TASNIA YA FILAMU KANUMBA NA TINNO WAKIJADILI JAMBO WAKATI WA MAZOEZI YA TIMU HIYO KTK VIWANJA VYA LIDAZ CLUB JIJINI DAR
HANDSOME BOY KTK TASNIA YA FILAMU YUSUPH MLELA AKIJIANDAA KUINGIA UWANJANI WAKATI WA MAZOEZI YA TIMU HIYO MWANAWANEEEEEEEEE
BAADHI YA WACHEZAJI WA KUTEGEMEWA WA CLUB YA BONGO MOVIE FC WAKIWA MAPUMZIKONI KABLA YA KUINGIA UWANJANI
MCHEZAJI STIVE NYERERE AKIONESHA MADOIDO YA KUMILIKI MPIRA KTK MAZOEZI YA BONGO MOVIE FC

No comments: