Monday, April 4, 2011

MAOMBI TUUU!! HAKUNA CHA KIKOMBE WALA NINI...

ASKOFU BRUNO MWAKIBORWA WA KANISA LA MITO YA BARAKA AKINIWEKEA MIKONO KTK IBADA YA JUMAPILI HII... UNAJUA NI KWANINI ALINIWEKEA MIKONO????
HAPA NI ASKOFU MWAKIBORWA NA MAMA ASKOFU. MCHUNGAJI WASWA MAARUFU KAMA MAPACHA ALIUNG'URUMA WIKI HII NDANI YA MITO YA BARAKA, SO ILIKUWA FREEEEEESH....

1 comment:

Anonymous said...

God is with u Mgosi..dont let anything take away your faith in him...be blessed...Lily