Tuesday, April 5, 2011

HAPA NI BONGO MOVIE NETBALL BALL JAMANIIIIII!!!!

WAREMBO TOKA BONGO MOVIE WAKIJIFUA KWA AJILI YA MECHI YAO YA JUMAPILI IJAYOOOO.
JACK WROPER HOI AKIPUMZIKA BAADA YA MAZOEZI YA TIMU HIYO, PANDE ZA LIDAZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ
CAPTEN WA TIMU HIYOOO AKIWEKA POZI LA DOLE WAKATI WA MAPUMZIKO YA TIMU HIYOOOO SHOST, HUYO MFUPI WA PEMBENI NI BIBIE MAINDAAAAAAAAA
UPAJA WA KOLETA UKALETA MAUMIVU KIDOGO, SO HAPO ALIKUWA ANASUBIRI MSAAADA ZAIDI TOKA KWA DAKTARI WA TIMU.
BIBIE ODAMA NA SHOST MAINDA WAKITIA STORY WAKATI WA MAZOEZI YA TIMU HIYOOO HAPO HAPO LIDAZ CLUB KILA SIKU ASUBUHI.

No comments: