The true test of character is not how much i know how to do, but how i behave when i don't know what to do.
Sunday, June 5, 2011
HII NI ZIARA YANGU NCHINI KENYA KWA AJIRI YA KUREKODI VIDEO YA MA SONGI YANGUUUU MWANAWANEE!!
HAPA NI DALAJA GANI SIJUI JINA LAKE TULIANZIA KUREKODI HAPA BADO TUPO DALAJANII HAPA WAKATI WA KWENDA NJIANI MVUA ILINYESHA SO GARI ZIKA KWAMA ILA SAFARI ILIENDELEAA KWAKUWA GARI ILIKWAMA NJAA NDO NIKAUFANYIA MKATE PANDE HIYOO HII NI AJALI TULIYOKUTANA NAYO NJIANI ASKARI WA USALAMA BARABARANI WALIKUWEPO KUTOA MSAADA ENEO HILOOO
No comments:
Post a Comment