Sunday, June 5, 2011

HII ILIKUWA SAFARI YA KUELEKEA KENYA KTK MOJA YA MISHEMISHE MWANAWANEEEE!!

HAPA NI STORY ZA HAPA NA PALE NA WASHKAJI WA TAHMEED
KTK SAFARI NILIKUWA NA WANANGU WAWILI HUYU NI MMOJA WAPO ANAITWA SYLAS MBISE
CHA KUSHANGAZA KENYA WANAUZA MADAWA YA KULEVYA LIVE!!
HEBU ONA JAMANII IVI POLICE WAKIBONGO SI WANGEENDA WAWASHIKE TU JAMANIIII

No comments: