Saturday, May 28, 2011

WASANIII NA SAGULA SAGULAAAA ZA MITUMBAAAAAAAAA HAHAHAHAHAAAAA...

WAKATI INASADIKIKA KUWA HUENDA WASANII WOOOTE HUENDA KTK MADUKA MAKUBWA KWA AJILI YA MAVAZI YAO KUMBE HALI NI TOFAUTI KWA VIJA NA WA ORIJINO KOMEDI AMBAPO CAMERA YANGU ILIYASHUHUDIA HAYAAAAAA........UMEMUONA BEPARI WA KIHAYAAAAA... HAPA NI MOJA YA MAMBO YA KAWAIDAAA KWAKEEEE
Mc LEGAN aka POPOOOOOO NAYE HAKUWA NYUMA KTK SAGULA SAGULAA HIYOOOOO
HAHAHAHAHAHAAAAA KUMBE ZA DUKANI BEI KUBWAAA BUREEEE BORA HIZI ZA JEROO JEROOO (NI KAMA POPOOO ANAMWAMBIA MPOKI)
MIMI SINUNUI MITUMBAAA WEWEEEEE!!!! HUU NI UBISHANI KATI YA JOTI NA Mc LEGAN
HABARII NDO HIIIII

1 comment:

Anonymous said...

Mbona hayo ya kawaida ndugu yangu. Mimi naishi NJ mpakani mwa NY City kuna sehemu maarufu sana wanauza nguo hizi lakini bei yake huwezi amini. Na wanakuja kununua watu maarufu tu hapo kila mara. Na kama sio wao wenyewe ni stylist wao wako hapo. Wewe unatumia $500 kwa pair ya jeans halafu huivai hata mara tatu mwingine anakwenda kuinunua kwa $50 tu. Kuna matajiri wanakufuru lakini ndio hao kila silu wana file bankruptcy lakini wale wenye akili utawaona toka umezaliwa wako na wanaendelea vizuri tu.

Lazima tukumbuke na kufundisha watu to live within their means au ndio ile wanasema ujikune mkono unapofika la sivyo utaumbuka