tag:blogger.com,1999:blog-461960045067579681.post3164067613808204783..comments2016-09-22T12:38:19.813-07:00Comments on KANDAMIZA: WASANIII NA SAGULA SAGULAAAA ZA MITUMBAAAAAAAAA HAHAHAHAHAAAAA...masanjahttp://www.blogger.com/profile/14414735039983424853noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-461960045067579681.post-44148591226133777842011-05-29T16:07:14.041-07:002011-05-29T16:07:14.041-07:00Mbona hayo ya kawaida ndugu yangu. Mimi naishi NJ ...Mbona hayo ya kawaida ndugu yangu. Mimi naishi NJ mpakani mwa NY City kuna sehemu maarufu sana wanauza nguo hizi lakini bei yake huwezi amini. Na wanakuja kununua watu maarufu tu hapo kila mara. Na kama sio wao wenyewe ni stylist wao wako hapo. Wewe unatumia $500 kwa pair ya jeans halafu huivai hata mara tatu mwingine anakwenda kuinunua kwa $50 tu. Kuna matajiri wanakufuru lakini ndio hao kila silu wana file bankruptcy lakini wale wenye akili utawaona toka umezaliwa wako na wanaendelea vizuri tu. <br /><br />Lazima tukumbuke na kufundisha watu to live within their means au ndio ile wanasema ujikune mkono unapofika la sivyo utaumbukaAnonymousnoreply@blogger.com