Thursday, April 28, 2011

WE UNAJIFANYA UNAUPENDO KWA UMPENDAE... HEBU CHEKI UPENDO WA (AGAPE) HUU...

HAPA NI KTK MOJA YA OUTING YA MKE MME NA WATOTO MWANAWANEEEE
HILI NI SEHEMU TU YA POZI LA GARDEN PIPOOOOOO



MWENDO MDUNDO MPAKA SUPER MARKET KUNUNUA MAZAGAZAGA MWANAWANEEE






KAMA VP UTANI WA HAPA NA PALE WA KIFAMILIA UNACHUKUA NAFASIIII







HAPA NDO ILE KILA MTU NA DEMU WAKEEEE KILA MTU NA DEMU WAKEEEEEE









1 comment:

Anonymous said...

Dah Mungu atujalie upendo wa jinsi hii.........kwa saabu kama tukiweza mambo yatakuwa powa saana