Monday, April 4, 2011

LICHA YA KUPATA AJALI BT INJILI ILIYOKUSUDIWA ILIFIKA

GARI YA MASANJA IKIWA IMEPASUKA TAIRI WAKATI WA SAFARI YA KUREJEA TOKA KILUVYA KTK TAMASHA LA INJILI
BAADHI YA WANAKWAYA YA NEW JERUSALEMU WAKITOA MSAADA KTK AJALI HIYO ILI SAFARI IENDELEEEEEE MWIMBAJI WA SONGI LA ''NASUBIRI BARAKA YANGUUU" CRISTINA MBILINYI NAYE ALIKUWA MMOJA WA ABILIA KTK GALI ILIYOPATA AJALI HIYOOO

1 comment:

Anonymous said...

namkumbuka Christina.....nilimuona Flem...lily