Saturday, April 2, 2011

KILA JUMAMOSI KANISA LA EAGT MITO YA BARAKA HUENDA SEHEMU MBALIMBALI KUHUBIRII.

HAPA FUSO LA KANISA LA MITO YA BARAKA LIKIWASIRI MAENEO YA KILUVYA NJE YA JIJI LA DAR ES SALAAM......
SYLAS MBISE MTANGAZAJI TOKA WAPO RADIO NAE PIA NI MSHIRIKA WA MITO YA BARAKA NA ALIKUWEPO KILUVYA NA KUWA MC WA SHUGHULI HIYO NZIMAAAAA

No comments: