Friday, April 15, 2011

KUNA VIJITUKIO HAPA HEBU CHEKIIIIIIIIIIIIII

ULE USEMI WA UKITAKA KUJUA UGOMVI WA MLEVI MWAGA POMBE YAKE, ULICHUKUA NAFASI LEO KTK MATAA YA MANYANYA KINONDONI BAADA YA GARI HII KUMGONGA MWENYE BAISKELI ILIYOBEBA BIAAAAA, USINIULIZE IKAWAJEEEEE HUYU NI MKALI WA KOMEDI KWA UPANDE WA WADADA ANAITWA MATUMAINI WATU WANAHOJI HUYO NI MWANAOOO SHOSTTTTTTTT?????
HII NI LEO ASUBUHI MAZOEZINI PANDE ZA LEADERZ CLUB WOOOOOTE MNAKARIBISHWA KUJIWEKA FIT.
MDAU WANGU TOKA PANDE ZA INDIA MUSA CGERA AKISHOW LOVE BAADA YA KUINGIA BONGO TOKA INDIAAAAAA KWA WANAOKULA MAPILIPILIIIIIIII

No comments: