Monday, April 11, 2011

HII NDIO SIKU BROTHER FREDI WA MITO YA BARAKA ALIVYO NG'ARA NA KIBURUDISHO CHAKEEE MWANAWANEEEEE!!!!

FREDY NA MCHUMBA WAKE PAMOJA NA WASIMAMIZI AMBAO NI (LILY) NKIGAMBILOWA NA USUPH. UMATI WA WASHIRIKA WA MITO YA BARAKA WAKIWEMO KANISANI KUSHUDIA BROTHER AKIJIVISHIA PETE MWANAWANEEEEE WATU WEWEEEEEEE!!!
MCHUMBA WA BRO FREDY AKIWA NA MSIMAMIZI WAKE LILY PAMOJA NA SHEMASI WA MITO YA BARAKA, MAMA MCHOMVU.
ASKOFU NA MCHUNGAJI WA MITO YA BARAKA BRUNO MWAKIBORWA AKIWAIDHINISHIA KWA MAOMBI UCHUMBA WAO NA KWAMBA MITO YA BARAKA IWE JUU YAO.
BRO FREDY NA USUPH... NI KAMA BRO FREDY ANASEMA NAONA KAMA SIKU ZA KUFUNGA NDOA RASMI KAMA ZINACHELEWA HIVIIII

JAMANI MSIJE SHINDWA KUTOFAUTISHA MIMI HAPA NDIO NILIOVISHWA PETE MSICHE CHANGANYA MKAJUA NI NKIGAMBILOWA NI MIMI NILIENYOOOSHA MKONO MMENIELEWAAAAA????

No comments: