Tuesday, April 26, 2011

JUMAPILI HII NDANI YA MITO YA BARAKAAAA

HAPA NAFATILIA MAHUBIRI YA ASKOFU MAFIMBO KTK SIKUKUU YA PASAKA
MASS CHOIR NAO HAWAKUWA NYUMA, HAPA DADA GRORY AKIONESHA UWEZO WA SAUTI ALIYOPEWA NA MUNGU KWA KUMRUDISHIA SIFA
JEHOOOOVA


DADA JULY aka TUMACHO TOKA J SISTERS AKIPAZA SAUTI JUU,LICHA YA UMRI MDOGO ALIONAO LAKINI ANAMTUMIKIA MUNGU KWA SAUTI NZURIII NA YA UKWEEEEH!!!





KAMA ILIVYO KAWAIDA MAMBO YA UCHUMBA YAKACHUKUA NAFASI PIA KAMA UNAVYO ONA MWANAWANE








SHOST NDANI YA TABASAMU LA MBALI SIKU YA UCHUMBA WAKE MMMHH ILIKUWA POUWA SANA KWAO SIKU HIYOOOOO








HAPA KTK POZI NA MMEWE MTARAJIWA KUMBUKA HUU NI UCHUMBA TUU JAMANI MAMBO YENYEWE BAAAAAADOOOO.












2 comments:

Anonymous said...

Kumbe Masanja ni mlokole wewe..!!

Anonymous said...

mbona kama unafanya comedy ktk neno la Mungu kama ni hivyo wacha mara moja tafadhali nakama uko sirias hongera na MUNGU akuwezeshe zaidi uweze kumtumikia zaidi otherwise unafanya vizuri