The true test of character is not how much i know how to do, but how i behave when i don't know what to do.
Tuesday, April 26, 2011
JUMAPILI HII NDANI YA MITO YA BARAKAAAA
HAPA NAFATILIA MAHUBIRI YA ASKOFU MAFIMBO KTK SIKUKUU YA PASAKA MASS CHOIR NAO HAWAKUWA NYUMA, HAPA DADA GRORY AKIONESHA UWEZO WA SAUTI ALIYOPEWA NA MUNGU KWA KUMRUDISHIA SIFA JEHOOOOVA
DADA JULY aka TUMACHO TOKA J SISTERS AKIPAZA SAUTI JUU,LICHA YA UMRI MDOGO ALIONAO LAKINI ANAMTUMIKIA MUNGU KWA SAUTI NZURIII NA YA UKWEEEEH!!!
KAMA ILIVYO KAWAIDA MAMBO YA UCHUMBA YAKACHUKUA NAFASI PIA KAMA UNAVYO ONA MWANAWANE
SHOST NDANI YA TABASAMU LA MBALI SIKU YA UCHUMBA WAKE MMMHH ILIKUWA POUWA SANA KWAO SIKU HIYOOOOO
HAPA KTK POZI NA MMEWE MTARAJIWA KUMBUKA HUU NI UCHUMBA TUU JAMANI MAMBO YENYEWE BAAAAAADOOOO.
mbona kama unafanya comedy ktk neno la Mungu kama ni hivyo wacha mara moja tafadhali nakama uko sirias hongera na MUNGU akuwezeshe zaidi uweze kumtumikia zaidi otherwise unafanya vizuri
2 comments:
Kumbe Masanja ni mlokole wewe..!!
mbona kama unafanya comedy ktk neno la Mungu kama ni hivyo wacha mara moja tafadhali nakama uko sirias hongera na MUNGU akuwezeshe zaidi uweze kumtumikia zaidi otherwise unafanya vizuri
Post a Comment