The true test of character is not how much i know how to do, but how i behave when i don't know what to do.
Thursday, April 28, 2011
HAPPY BIRTHDAY SHOSTITOOO RIHAMAAA... BOOOOONGE LA PARTY NDANI BUUUUUUUUUUUUUUZA BULUUUUUUUUU MIKOCHENI.
HUYU NDIE MTOTO ALIYEZALIWA NA UREFU WAKEEEEE BAADHI YA WAKALI KIBAO KUTOKA PANDE TOFAUTI ZA TOWN WALI SHOW LOVE KTK BIRTHDAY HIYOOOO MWANAWANEEE
KTK POZI NA SHOST YAKEEEEEE
KTK POZI NA MKULUGENZI WA TBC INTERNATIONAL TAJI LIUNDI
WAKIWA NA BABA MWENYE NYUMBA WAO MR KAMUGISHA MHAYA ANAYE MILIKI VYUMBA 2 CHOO JIKO NA TANKI LA KUUZIA MAJI MAENEO YA MIKOCHENI JKT
SHOST GUU GUU aka VALLE NA WADADA WENGINEEEE
ALEXIA AKIJIPIMA UWEZO WA KUMUINUA OTHMANI MICHUZI ALIKUWA AMESHIBA VYUKU NA VYODA NA PIZA
ALEXIA KTK BOOOOONGE LA POZ NA MMILIKI WA BLOG HII HAHAHAHAHAHAHAHAAAA
SHOST GUUU GUUU NAYE AKAAMUA AJIFOTOE NA MWENYE BLOG TEH TEH TEH TEH TEH TEH
SHOSTITO WA UKWEEEH MAMAAA HAPPY KTK BOOOONGE LA POZI NDANI YA UKUMBI WA BIRTHDAY
1 comment:
Naushad
said...
Santaaaaa!!! Nakuona Mchungaji Mtarajiwa au kwa kimombo Pastor 2B katika Mapozi! Hivi GUU GUU unasema kwa mdomo tu au na viungo vingine vya mwilini????? hahahahah Sawa Mchungaji!
1 comment:
Santaaaaa!!!
Nakuona Mchungaji Mtarajiwa au kwa kimombo Pastor 2B katika Mapozi!
Hivi GUU GUU unasema kwa mdomo tu au na viungo vingine vya mwilini????? hahahahah Sawa Mchungaji!
Post a Comment