Thursday, March 24, 2011

WAANDISHI FEKI WA TBC WALIPOTIWA MIKONONI!!!

VIJANA HAO WAWILI MWENYE KOFIA NA MWENYE MIC, WAMEKUWA WAKIPITA MTAANI NA KUJIFANYA NI WAANDISHI TOKA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TBC KUMBE WIZI MTUPU. HAPO WAKATIWA MKONONI USINIULIZE MIMI KILICHOFATIAA

No comments: