Thursday, March 24, 2011

NAJUUUTA KUWAKARIBISHA WAREKODIE HOME.

 HAWA WASANII BWANA WALINIOMBA LOCASION HOME KWANGU NIKAWAKUBALIAAAA VIZURIIII, WALIPOFIKA BADALA YA KUFANYA KILICHOWAPELEKA ''LOOK AT DIS"
HALAFU WANANILINGISHIA LIKE KULA TUNAKULA NA HUTUFANYI KITU, NA SISI NDIO MABONGEE KULIKO KUNDI ZIMA. SA MI NIWAFANYAJE JAMANIIIII????

1 comment:

Anonymous said...

hahhahahahha,nyie watu mna visa sana... kula wamekula na huna cha kuwafanya thats realy nice.. nawapenda sana