Wednesday, March 23, 2011

BONGO MOVIE PRESENTER,COMEDY PRESENTER,AND BURUDANI NI NYUMBANI PRESENTER

 WATANGAZAJI JOYCE KIRIA (STELLING WA BONGO MOVIE EATV) NA MUSA NA LISA WA BURUDANI NI NYUMBANI TBC 1 WALIPOTEMBELEA OFISINI KWANGU.
WATANGAZAJI WA UKWEEEEEEH!!! UTAWAPENDAAA UTAWAPEEENDAAA

3 comments:

max said...

vip mmoja bac

masanja said...

Weeeeeeee wanawenyewe haooo shauri yako mimi mwenyewe kuomba siwezi ila nikipewa kama polomosheni haaaaa NAKANDAMIJA.

Anonymous said...

kazi nzuri masanja tumekumiss sana katika blog yako afafali umerudi na ukimwa wako haukuwa wa bure umeimarisha kweli blog yako yaani kila siku nilikuwa nachungulia blog yako lakini ilikuwa sioni kinachoendelea mwisho nilichoka nikaacha kukutembelea leo nikapata habari ktk blog ya dj choka ndio nikakutembelea nikakuta mambo moto safi sana masanja endelea kutuletea habari nzuri nzuri iliyoenda shule kama hii sasa nina swali huwa napenda sana kuangalia hilo kundi lenu zecomedy nitawezakuangalia ktk web site ipi? tafadhali naomba unijuze mimi ni mpenzi wenu sana keep it masanja