Sunday, June 5, 2011

HAPA NI WASANII WANAOTISHIA KTK TASNIA YA FILAMU NI J,B NA KETI

HAYA NIAMBIE MAMA YANGU ULISEMA UNATAKA KUNISHIRIKISHA KTK MOVIE GANI NA JE UNAYO PESA YA KUNILIPAA??
JAMANI KWANI KUNATATIZO GANI MI KUONGEA BIASHARA NA KETI??
JAMANI EEEH!! HATUTAKI USUMBUFU TUNA MAZUNGUMZO SERIOUSSSS!!!

No comments: