Sunday, June 5, 2011

HAPA NI WAKALI WA SANAA KTK TASNIA YA FILAMU AMBAO KILA MTU HAKUWA NA NAMBA YA MWENZIE LICHA YA KUFANYA KAZI MALA KIBAO PAMOJA.

SAMAHANI KAKA CHENI NAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU JAMANIII
YAANI WE MAYA ULIKUWA HUNA NAMBA YANGUU?? NA MBONA UNATUMIA KI TOCHII?? HAHAHAHAHAAA ACHA MAMBO YA KITOCHI BWANA ANDIKA NAMBA BANAAA
ASANTE SANA NA WEWE UNACHOSHANGAA NINI MI KUOMBA NAMBA JAMANIII

No comments: