The true test of character is not how much i know how to do, but how i behave when i don't know what to do.
Monday, June 13, 2011
BADO TUKO MKUTANONI MWANAWANEEEEEE
BAADHI YA WAIMBAJI WA JERUSALEM CHOIR WAKIWEKA POZ MBELE YA CAMERA YA BLOG AKINA DADA KUTOKA KUNDI LA DOUBLE E NA RAFIKI ZAO KTK PICHA MKUTANONI POZI MBALI MBALI ZILITUMIKA KTK PICHA WAIMBAJI WA KIUME KUTOKA NEW JERUSALEM CHOIR SEHEMU TU YA MASIPIKAAAAA IKITEMA SAUTI NDANI YA VIWANJA VYA JANGWANII
1 comment:
mbona hujaweka picha za mzee wetu kulola?
Post a Comment