Tuesday, July 19, 2011

NDUGU ZANGU HII SI PICHA YA KUPIGWA KTK VIDEO HII ILIKUWA LIVE, NI KTK MAIGIZO YA KIFO CHA CHA YESU KRISTO KTK KANISA LA CCC LILILO UPANGA JIJINI DAR

UMATI WA WATU ULIFURIKA KTK KTK KANISA HILO UKIFATILIA KWA KARIBU ONYESHO LA KUZALIWA NA KUFA KWAKE YESU KRISTO LIVE KANISANI HAPOO
HAPA NI KILIO KIKUBWA BAADA YA YESU KUTUNDIKWA MSALABANII... HEBU ONA KAMA SIO LIVE VILEEEEEEE
HAPA YESU AKIWA KAWEKWA MSALABAMI AMA KWA HAKIKA SIKU HIYO ILIKUWA YA KIPEKEEEEE... JAMANI MUENDAGE KANISANI MENGI YANAWAPITAAAA HEEEE!!!!
HEBU ONENI JAMANIIIII YAAANI NA WISH UNGEKUWEPO UJIONEEE MWENYEWEEE YOTE HAYAAAA, NA HAPA NAKUONJESHA TUUUU
HAPA NI KUNDI ZIMA LA WASHIRIKI WA PICHA HIYOOO WAKISALIMIA WATAZAMAJI MWENYE NGUO NYEUPE NDIE ALIYEIGIZA KAMA YESU NA MWENYE SUTI NDIE MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA HILO LA (CCC) CITY CHRISTIAN CENTER

No comments: