Sunday, June 5, 2011

MWEE!! MWEE!! MWE!! GARI YA MTANGAZAJI WA CLOUDS BW KIBONDE YAPATA AJARII KINONDON MOROCO USIKU HUU...

HILI NI GARI ALILO GONGANA NALO KIBONDE NA MAMA UNAEMUONA KWA MBALI NDIE MMILIKI WA GARI HII
HAPA UNAWEZA JISOMEA NAMBA YA GARI YA HUYO MAMA
CHEKI GARI ILIVYO FUMUKA MWANAWANEEE YAAN ASANTE MUNGU WOOTE WAMETOKA WAZIMAA
HAPA NI GARI YA MTANGAZAJI IKIWA IMEBEBWA NA BREAK DOWN KWENDA POLICE
JAMANII POLEE KIBONDE MZEE WA ASALAAAM ALEYKUUUUU.

No comments: