The true test of character is not how much i know how to do, but how i behave when i don't know what to do.
Friday, May 13, 2011
SASA KALI ILIKUWA WAKATI WA MAOMBI YA KUFUNGA MAZOEZI SA SIKUJUA MWANAHALISI HAWAJUI MAANA YA KUFUMBA MACHO AU LAA HEBU ONAAAA....
HAPA MTANGAZAJI WA WAPO RADIO NA TBC MR MSAMI AKIONGOZA SARA HUKU AKIWA KAFUMBA MACHO LAKINI WAJAMAAA BADO WANAPIGA CHABO NIKAJUA BAHATI MBAYA NIKASEMA NIWACHEKI NA WENGINE NIONEEEEEE HEEEE HAPA TENA BROTHER MWENYE TISHET NYEUPE WA WAPO RADIO KAFUMBA MACHO ONA HAWAAAAAAA.....
CHEKI HADI HAPA PIA SYLAS MBISE WA WAPO RADIO KAFUMBA MACHO ONA HUYO JAMAAAAAAAA... HAHAHAHAHAA WAS NOUMER MADHEEEEEEE....
No comments:
Post a Comment