Tuesday, May 17, 2011

MSIBA MZITO NDANI YA TASNIA YA SANAA TANZANIA, MSANII NA MKURUGENZI WA JAKAYA THEATRE BW THOMAS NSENZIGE AFARIKI BAADA YA KUANGUKIWA NA KONTENA...

MWILI WA MAREHEMU UKIWASILI KANISANI KIMARA KUTOKEA HOSPITAL YA TUMBI
UMATI WA WAOMBOLEZAJI UKILIA KWA HUZUNI JUU YA MSIBA HUOOSIMANZI ILITAWALA KWA KILA MTU

WATU WALIJIPANGA WAKIUPOKEA MWILI WA MAREHEMUWAMAMA NAO WAKISHINDWA KUJIZUIA NA WENGINE WALIZIMIAAA NA KUHOJI UKO WAPI THOMAS WETUUUUU


HEBU ONA SURA ZA SIMANZI JAMANIIJENEZA LIKIPOKELEWAAA NA KUINGIZWA KANISANIII

No comments: