Tuesday, May 3, 2011

MSIBA MKUBWA NDANI YA ORIJINO KOMEDI.....

MAREHEMU MOHAMED MUYA ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA KAZINI, MUYA AMEFARIKI JUMATATU JIONI SAA 12 MAENEO YA KIMARA MWISHO.

MOHAMED MUYA TUTAENDELEA KUMKUMBUKA NA KUMUOMBEA APUMZIKE KWA AMANII


MKURUGENZI MKUU WA TBC MR MSHANA(ANAYEONGEA NA SIMU)
ALIKUWEPO HOSPITAL MDA WOTE MPAKA WAKATI WA KUMUAGA MAREHEMU MUYA.




MSANII WA ORIJINO KOMEDI JOT AKIPITA KWA HESHIMA MBELE YA MWILI WA MAREHEMU







MSANII WA ORIJINO KOMEDI WAKUVANGA AKIPITA MBELE YA MWILI WA MAREHEMU KUTOA HESHIMA ZA MWISHOO









PRODUSER WA ORIJINO KOMEDI SEKIONI DAVID (SEKI) AKITOA HESHIMA ZA MWISHOO










































2 comments:

Charles Ngirwa said...

Kwa niaba ya familia yangu(mke wangu flora Mwendapole, mwanetu Catherine Charles Ngirwa na mimi mwenyewe) tunawapa pole saaana kwa msiba mkubwa uliowapata wana OK(origino komedi)mkumbuke tu kuwa mnamuombea mwenzenu ili asamehewe makosa yake na kupokelewa na mwenyezi mungu ktk ufalme wa milele. pia tunawaomba kwa heshima kubwa kabisa muikumbuke familia yake hasa mtoto aliyemuacha ili asiweze kupata tabu ninyi mkiwepo!
asanteni na mungu awabariki sana!

Charles Ngirwa

Anonymous said...

kijana si unajua shughuli ya kufuata mke wa mtu.. charles, jiandae..