Tuesday, May 17, 2011

JUMAPILI HII MCHUNGAJI MTARAJIWA ALISHUSHA INJILI KTK KANISA LA VINGUNGUTI.......

HAPA INJILI IKICHEMKA ISIVYO KAWAIDA NA HAKIKA WATU WALIBARIKIWAAA
UMEMUONA PASTOR 2 BE??
HAPA CHINI PALIKUWA HAPAKALIKI WAKATI INJILI IKICHEMKAAAAAAA
MWISHO WA IBADA MCHUNGAJI YOHANA NA MAMA MCHUNGAJI NA KIONGOZ WA KANISANI HAPO WAKAOMBA KUJIFOTOA NA MWENYE BLOG OR SORRY NA MCHUNGAJI MTARAJIWAAA

1 comment:

Anonymous said...

wacha wizi unatuzingua we pastor gani