Tuesday, May 17, 2011

JAMAN JAMANI MSHAONAGA UGOMVI KATI YA MCHINA NA MBONGO????

KISA CHA UGOMVI NI BAADA YA AJALI HII KATI YA GARI LA PEPSI NA RAV 4 YA WACHINAA
HAPA MCHINA AKIANGALIA PALIPOUMIA ILI AJUE ANARUSHA KARATE NGAPI/ MBONA ILINOGAAAA
HAPA JAMAA AKIAMULIA ILI MCHINA ASIMDHURU DEREVA WA PEPSI ILA WALIKUWA WAKIELEKEZANA KWA VITENDO CZ MCHINA ALIKUWA HATA KINGEREZA HAJUIII, AFADHARI YA DEREVA WA PEPSI ALIKUWA ANAJARIBU KICHINA KIDOGOOOOOO HAHAHAHAHAAAAA

1 comment:

machuma said...

yah ukitaka kujua kuwa mlevi ni noma, mmwagie pombe yake!