Friday, May 27, 2011

HII ILIKUWA COCO BEACH TOUR SIO LAZIMA KWENDA MOUNT KILIMANJAROOO...

TULIPOFIKA KILELENI TUKAMEET NA MAKAMUAAA...
HAPA ULIKUWA NI MJADALA TURUDI KWA MGUU TENA AU KWA BOTIHAPA KIJANA TOKA PRAYS POWER RADIO ERICK AKIJITUTUMUA KUPANDA BILA KUSAIDIWAAA


UMEMCHEKI MWENYE BLOG KAPANDA BILA KUSAIDIWAAA


MKICHOKA KUPUMZIKA IMO, HAPA TUKIVUTA HEWA HEWA MAANA ILIKUWA BALAAAA

HAPA TUKIJARIBU KUINUA HILI LIMWAMBA ILI TUPITE KWA CHINIIII NIKO NA KIJANA WANGU TOKA WAPO RADIO SYLAS MBISEEEE
No comments: