Tuesday, April 26, 2011

NEW JERUSALEM CHOIR NDANI YA MOROGORO

KWAYA YA NEW JERUSALEMU WATOTO WA MITO YA BARAKA WAKIWA MORO KUMWABUDU MUNGUU
HAPA NI KTK MOJA YA STEP ZA NYIMBO KALI INAYOJULIKANA KWA JINA LA "KESHO NI YAKO"
NEEMA LANGULA NA MMEWE FRANCIS LANGULA PIA WALIKUWEPO MORO NA JERUSALEM CHOIR.
DAVID SUDY NA GOSPEL WALIKUWEPO PIA MOROGORO
No comments: