Thursday, April 7, 2011

MIZENGWE & ORIJINO KOMEDI KWA PAMOJAAAA

DAH!! ILIKUWA POUWAA SANA KUMEET NA WANANGU WA MIZENGWEEE BANAAA TUKAONA BORA TUJIFOTOEEEE KWANI KUONANA KWA PAMOJA IVO NI MALA CHACHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

3 comments:

Naushad said...

Mwana hapo naona concentration yako iko kwenye mkono wako wakulia, kama vile umepata shoti in that hand!!

Anonymous said...

teh teh ...i like it much,,big up sana mizengwe

Justin Kasyome said...

Hongereni sana. Tunahitaji umoja kama huo.
Mmependeza!