Monday, April 4, 2011

KANISANI MITO YA BARAKA JUMAPILI

MKALI WA NYIMBO ZA INJILI BONI MWAITEGEE MZEE WA NJOOO "UFANYIWE MAOMBIIIIIIII" AKIHUDUMU KTK KANISA LAKE LA MITO YA BARAKA.
AKINA DADA WA KUNDI LA DOUBLE E TOKA MITO YA BARAKA AMBAO PIA NI WASHINDI WA TUZO ZA KUNDI BORA KTK GOSPEL AWARD ZA MWAKA HUU WAKIWA KTK POZI LA PICHA PAMOJA NA MAMA YAO MZAZI, AMBAYE PIA MAMA HUYO NI MKE WA MZEE KIONGOZI WA MITO YA BARAKA.

1 comment:

Anonymous said...

pls masanja uweunatuwekea player tusikilize nyimbo za dini hapa na pia kuangalia zecomedy yenu hapa maana sijui hata sasa hivi show yenu inapatikana wapi nihayo tu otherwise unafanya vizuri