Wednesday, April 27, 2011

INAWEZEKANA WE NI MMOJA KATI YA WATU WALIO KATA TAMAA KWAKUWA KILA UNACHOFANYA HAKIFANIKIWI VP KAMA HUYU NDUGU YETU ANGEKATA TAMAA KWA ULEMAVU ALIONAO

HAPA AKIPATA MSAADA TOKA KWA MA DOCTOR WAKE
HUWA ANAPATA TIME NZURI YA KUFANYA MAZOEZI TENA CHINI YA KOCHA WAKEEEE
NA HATA ALIPOTAMANI KUSIMAMA ILI ATEMBEE KAMA WENGINE LICHA YA KUWA HAKUWA NA MIGUU LAKINI ALIJIPA MOYO KUWA NI LAZIMA ASIMAME
HAPA AKITIA NIA YA DHATI KUHAKIKISHA KUWA ANASIMAMA KWA MIGUU YAKE ALIYOWEKEWAHATIMAYE ALISIMAMA NA KUVAA SURUWALI NA KUTEMBEA KAMA KAWAIDA PLSSSS USIKATE TAMAA HILO UNALOHISI HALIWEZEKANI MUNGU ANALIWEZA JIPE MOYO NAWE UTASHINDA.


1 comment:

Anonymous said...

soo touching!i thank God for who i am...Lily blg