Sunday, March 27, 2011

KAZI ILIKUWA NI KUWASOMBELEA VIJANA WANGU

HAPA NIMEMPAKIA MSANII MWENYE UZITO MDOGOOOOOOO KULIKO WASANII WOOOOTE WA COMEDY TANZANIAAA ANAITWA JEMBEEEEEEEEEEE aka JOTI. HAPA NINAMMUVUZISHA MSANII MWENYE UZITO MKUBWAAAAAA KULIKO WOTE KTK BONGO MOVIE TANZANIAAA ANAITWA JB.

1 comment:

Anonymous said...

Unashangaa yule aliye geuza helmet mbona wewe hapa hujavaa kabisa?
Au ulikuwa unauzia sura hiyo tuktuk?
Mdau Fidel